mimi nilifikiri tatzo ni simu yangu 😂😂😂 kumbe ni chrome eeeh
Kumbe tupo wengi inatuzingua
Hata uc ilinigomea nikaifuta nikadownload upya ikakubali,nadhan na chrome inaweza kuwa imechokayani me hadi nikakata tamaa kutupia picha humu jf nikasema labda simu yangu ni shida ila leo umenifungua macho kumbe liChrome mkuu
sure itakuwa outdated maana inaniletea kila saa notification ya ku update....Hata uc ilinigomea nikaifuta nikadownload upya ikakubali,nadhan na chrome inaweza kuwa imechoka
Heh,, world cup mbona uliweza?? utakuwa umebadiri appDuh hizi GIF zimenigomea kwa uc browser
Huyu ndege ni mrembo ..
Heh,, world cup mbona uliweza?? utakuwa umebadiri app