Hizo dawa sijawahi tumia mimi,siumwagi malariaTrauma wapi? Dawa hata kama ni chungu namna gani hunywewa. Ulikuwepo wakati wa chloroquine na quinine?
Eti mchukia wasukuma jamani[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee...
Mchukia Wasukuma, weka ile picha ya Wasukuma wakilana denda mmoja kamng'ata mwenzake mdomo/pua [emoji16][emoji16][emoji16]
Nawaona wasukuma baada ya kusoma nondo zako wakaenda fanya majaribio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya hilo ndo la leo la kumoyo 'denda linautamu wake jamani' dah! haswa umpate anayelijulia mbona utadata!
Mi ndo nishalopoka likikuuma kama kawaida choma ganzi!!
07:39saturday 00:40 second bottle of robertson wine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawaona wasukuma baada ya kusoma nondo zako wakaenda fanya majaribio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 832497
Chrome nayo hata kuapload picha inagomaTumia chrome
Thank utumia chrome
mimi nilifikiri tatzo ni simu yangu 😂😂😂 kumbe ni chrome eeehChrome nayo hata kuapload picha inagoma
Huwa hasa anapomkamata mtu kisha akampiga kichwa chini, inabirudisha sana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilikuwa najiulza Huyu jamaa ana nguvu kiasi za kumnyanyua mtu kama John Cena kwa mkono mmoja au kuna drama zilikuwa zinafanyika pale