Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyie wa miaka ya 90's kupanda juu ni ngumu kuzijua hizo dawa, zilikuwa zimeondolewa ila kwinini ya sindano iliendelea kidogo.
Nyie dawa zenu ni (Mungu anisaidie nife bila kuzinywa) Mseto...
Dawa zao tamu yaani kama umeishiwa mlenda ugali umekudodea waweza kusindikizia matonge kadhaa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Usigune jirani. Anachokitafuta atakipata. Wanasemaga Karma is a biatchi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jiran anahuzunika unampokonya tonge mdomoni,kila sikua anaimba bora umpe jiran kuliko kioze wadhan bure bureeeee
 
Tena juzi juzi hapa naona alikorofisha something nikasikia eti ni afadhali kioze kuliko kumpa jirani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…