Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Historia yake kabla hajajiunga CUF siifahamu, lakini nafasi aliyokuwa nayo ndani ya CUF ni kubwa na Maalimu Seif alimuamini sana huyu hanaa
Hajawahi kuwa CCM, ametoka chuo moja kwa moja CUF. Lakini ndo kundi lile lile kama hili linalo zurura humu kwenye uzi wa likes kutafuta nini sijui?!! Hata nimesahau tunaongelea nini...
 

Iandae hiyo $300 aisee. Ngoja nitakaomba haka kasikopenda Wasukuma kanizindue, sasa sijui kama kataelewa somo; Maana nako kanaonekana kabishi hako! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…