Si ndiyo next prezidaa huyu ama?Hahahahaha huyu jamaa mjinga sana hahah
...na viporo utapasha tu....Kabsa,, sasa itokee mmeachana vile bado kutakuwa kuna mawasiliano??
Hakuna tena mawasiliano wala kupigana tafu,,, ila kama mmeachana roho safi tu,,, aah hyo haina shida hata kwenye harusi yake utahudhuria tu.
Mie hapana kwakweli, tukitegana migongo ndo imepita.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmesema tu nisikie maoni yako,,, sidhani kama kuna watu wa namna hii.
LINDI: Mbunge wa Liwale kupitia CUF, Bw. Zuberi Kuchauka ametangaza kukihama chama hicho leo na kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM)
Bro unapashana sana viporo eeh...na viporo utapasha tu....