[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afadhari hata huo mchai chai utakupa afya...Hii chai ngumu kumesa.
Kwema kabisa....Za huko kwako?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwema mkuu?? habari ya huko
Kwema pia mkuu,,, uwe na mchana mwema huko uliko!Kwema kabisa....Za huko kwako?
Asante, na kwako pia mkuu.Kwema pia mkuu,,, uwe na mchana mwema huko uliko!
Inategemea aina ya fumanizi, maana fumanizi nyingine unaweza jikuta unahama eneo unaloishi na kuachana kabisa na michepuko
duh! afrika.....Miji isiyo bora kuishi duniani 2018
1. Damascus, Syria
2. Dhaka, Bangladesh
3. Lagos, Nigeria
4. Karachi, Pakistan
5. Port Moresby, Papua New Guinea
6. Harare, Zimbabwe
7. Tripoli, Libya
8. Douala, Cameroon
9. Algiers, Algeria
10. Dakar, Senegal
Mzee wa msitu
Time goes on15:55
Huyu jamaa ni mfala sana,yaani unapeleka demu wako kwa ex yake wanaingia ndani halafu anakuja kukwambia kaliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]