Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

B0BF0370-5CFC-4C50-B689-ACC67BB16786.jpeg
 
Baada ya Kutolewa kwa Mkopo kwenda kwenye Vilabu mbalimbali kwa muda Mrefu Imeripotiwa Mshambuliaji wa Arsenal Joel Campbell Kesho atafanyiwa vipimo vya afya kwenye klabu ya Frosinone Calcio ambayo Imepanda Ligi kuu ya Italia (Serie A) kwa ajili ya Kununuliwa moja kwa moja.
 
Makamu wa Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Windhoek, Namibia kushiriki Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika utakaofanyika Agosti 17 - 18 mwaka huu akimwakiliasha Rais Dkt. John Magufuli
 
The good news
***************

Doctor---> I got good news[emoji56]and bad news[emoji48] for u!

Patient---> Tell me the bad[emoji48] first

Doctor---> Two of ur legs have to be cut[emoji852]️[emoji852]️[emoji852]️

Patient-->[emoji15][emoji15][emoji15] What about the good???

Doctor--> There's someone who can buy ur shoes[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom