Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitaitafuta. Leo pia najipikilisha samaki. Nikiikosa orijino nitawawekea mpya...Muone mavidole yalivyo marefu...Kesho mtoe na magodoro nje. Shwaiiiniii [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
aah ipo hio daah niliiacha makusudi nikaleta hizi aaaaahhh inauma sanaNitawatafutia ile orijino niwawekee roho zenu zitulie. Sato wa kwangu walikuwa tayari kuingia oven bana siyo hao jamaa sijui yuko sokoni anachambua...Kha !!!
Ungetokea Gold Crest sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine dadeki [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatimaye Numbisa rolo modo wa mtu amerudi...Wenyewe
If you know you know [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa magodoro yanahusika vipi na mikono??[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sina taarifa kuhusu hilo mkuu, nafurahi kuona anaendelea vizuri.Mgonjwa wetu mashuhuri sana. Anarudi lini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shem bhanaUna maanisha hivyo vikatuni utaendelea kumwaga humu hadi Jumatatu!!
Haya ngoja tuendelee kufaidi huto tumisambwanda [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hata mimi nimeiona daah![emoji19][emoji19][emoji19]aah ipo hio daah niliiacha makusudi nikaleta hizi aaaaahhh inauma sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]If you know you know [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
U rolo modo keshaupoteza. Rolo modo gani mpole hivi? Nikiona ligi angalau mbili tatu hivi urolo modo unarudi pale pale. Kwa sasa hakuna kitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatimaye Numbisa rolo modo wa mtu amerudi...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]