Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa wanakuja. Wanakuchimbia chini. Wanakula na kusaza. Wanakunywa. Halafu wanakwenda zao. Wanakuacha wewe chini ya ardhi. Finished! Finito !!!
Aisee!!! Nina kumbukumbu kichwani ya video ya kunyongwa Saddam Husein, siku ile mzee na ubabe wake wote alipagawa akawa anatetemeka... Yaani sijui nisemaje! Niliingiwa na huruma sana, nikatamani wamsamehe kibinadamu mengine aje apambane na Mungu wake siku ikifika...

Ajabu watu wakajaa mtaani wanaserebuka...
Hiki kifo acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitaitafuta. Leo pia najipikilisha samaki. Nikiikosa orijino nitawawekea mpya...Muone mavidole yalivyo marefu...Kesho mtoe na magodoro nje. Shwaiiiniii [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa magodoro yanahusika vipi na mikono??[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Lishe yenye kiwango kidogo cha wanga inauwezo kupunguza kiwango cha maisha ya binadamu ya kuishi, Utafiti umebaini hilo.
Lishe yenye virutubisho kidogo vya wanga, kama vile Atkins imepata umaarufu zaidi kama njia bora ya kupunguza uzani na umeonyesha matokeo ya kudumu ya kupunguza hatari ya kupatwa na magonjwa mengine.
 
Lakini utafiti wa Marekani uliofanywa kwa zaidi ya miaka 25 umeonyesha kupunguza kwa matumizi ya wanga au Kabohaidret - au kutumia nyama badala ya protini na mafuta yanayotoka - kwa mimea ni bora zaidi kiafya.
Utafiti huo ulizingatia watu ambao waliokuwa wakifahamu kiwango cha Kabohaidreti walichokuwa wamebugia.
 
'Kupata umaarufu zaidi'
Katika utafiti uliofanywa na kuchapishwa kwenye jarida la kisayansi la afya la Lancet , watu 15, 400 kutoka Marekani walijaza hoja kuhusiana na chakula na vinywaji wanavyotumia na kwa kiwango gani.
Kutokana na utafiti huo , wanasayansi walikadiria kiwango cha Kalori watu hao hupata kutoka kwa vyakula vyenye proteini , mafuta na Kabohaidreti(vyakula vya wanga)
Baada ya kundi hilo ambalo liliwajumuisha watu wengi wenye kadri ya umri wa miaka 25, watafiti hao walibaini kwamba kati ya asilimia 50-55% hupata nguvu kutoka kwa vyakula vilivyo na wanga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa magodoro yanahusika vipi na mikono??[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui ni magodoro ya wapi
 
Tuwekee yenyewe basi[emoji16][emoji16][emoji16]
Jamaniii
IMG_20170320_213413_399.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom