Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Geez, Pyaar! Tunaenjoy weekend, we don’t wanna think about this; OMG! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha! Injoini mkilijua hilo....Geez, Pyaar! Tunaenjoy weekend, we don’t wanna think about this; OMG! [emoji23][emoji23][emoji23]
Awesome ntapenda cr7 akiwika ligi ya huko piahii mechi nimeiwekea kabisa auto reminder supersport 8 saa 18:15
leo mnyama lazima atupie maana wale chievo velona ndio huwa vibonde wa ile ligi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bageshi tumewapata samakiasante sana maa
Hii ndo ile mikono minene niliyokuwa naisaka[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimuona @SYB mwambie namshikamia[emoji23][emoji23]
Mie mzima wa afya tele, nashukuru kama nawe pia u mzima, jambo la kumshukuru Mungu....Ila hapo kwa kweli Mungu alitukomesha, acha kabisa aisee! Mi buheri wa afya bana, hofu na mashaka ni juu yako uliye mbali na upeo wa macho yangu; Khaa! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Wewe ni kwishney kabisa!🙂🙂
something is wrong with you.
[emoji23][emoji23], kula raha ukijua hautadumu milele.Kwa kutufumbia hiki kitendawili, acha Mungu aitwe Mungu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mie mzima wa afya tele, nashukuru kama nawe pia u mzima, jambo la kumshukuru Mungu....
Hizo mbio za nini??? Halafu uachage kujing'atang'ata..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukweli mchungu huu! [emoji1][emoji1]
Nice
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mbona mipya? Ile original ilishawaponyoka. Ile ya Bae wa uzi bado mnayo? Na mnavyopenda mamikono sasa. Mpaka nawahurumia yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Huyu ndo jumalokole?Bora fenesi la andjul kuliko ka naniii ka mbea wa instaView attachment 840465
Anakana mikono eti hii ni mipya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bageshi tumewapata samaki