Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bro bana
Nitawatafutia ile orijino niwawekee roho zenu zitulie. Sato wa kwangu walikuwa tayari kuingia oven bana siyo hao jamaa sijui yuko sokoni anachambua...Kha !!!

Ungetokea Gold Crest sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine dadeki [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakika. Yaani ukiwaazia tu hiyo siku ya kunyang'anywa pumzi na Mungu, unaweza ukanywa hata bapa tatu na usilewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wanakuja. Wanakuchimbia chini. Wanakula na kusaza. Wanakunywa. Halafu wanakwenda zao. Wanakuacha wewe chini ya ardhi. Finished! Finito !!!
 
Tuwekee yenyewe basi[emoji16][emoji16][emoji16]
Nitaitafuta. Leo pia najipikilisha samaki. Nikiikosa orijino nitawawekea mpya...Muone mavidole yalivyo marefu...Kesho mtoe na magodoro nje. Shwaiiiniii [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
Back
Top Bottom