Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Team mbovu,team ya mchangani[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa Monaco labda uwape ushindi wa kona + kadi[emoji23]... Juventus nao siku hizi hamna kitu, Lazio tu anamnyanyasa..Nantes na Monaco,,, hawa sio kabsa,, Hapa Kanjibai anakupiga huku unajiona
Presha kwa PSG imeisha,, imebaki kwa Junventas,,, hadi sasa wameshapigwa 2-1[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni sawa na maji matitu fc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo siyo Ashanti wala Nungu, inaitwa; Arsenal! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni sawa na maji matitu fc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaa, hiyo timu sijawahi kuisikia hata siku moja. Ni ya wapi hiyo, Msanga? [emoji23][emoji23]
Nilisahau kama wewe ni mtoto wa masaki peninsula money loves me[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna sehemu huku kwetu inaitwa mbagara maji matitu hiyo maji matitu fc ndo team ya mtaa
Karibu kwetu[emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]*Wanawake wananiachaga hoi sijui nani aliwambia et maji yaliyobaki kuogea ndo ya kufulia chupii*🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 * *POVU RUKSA,MAANA UKWELI UNAUMA[emoji16][emoji16]*
Ashanti napata.Sasa timu imeanzishwa labda miaka miwili iliyopita, siwezi ijua bana! Kwani wewe Nungu au Ashanti unazijua? Ulishuhudia mechi zake pale Shule ya Uhuru Mchanganyiko? [emoji1][emoji1]
Mkuu unapenda ligi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]U rolo modo keshaupoteza. Rolo modo gani mpole hivi? Nikiona ligi angalau mbili tatu hivi urolo modo unarudi pale pale. Kwa sasa hakuna kitu
Ashanti napata.
Mitaa ya uhuru mchanganyiko ndo palikuwa home[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kuhangaika kusiko na mfanoWanahangaikaaaa.
View attachment 840553
Kweli aisee,,, mkeka bado unapumua hapa,, Juventas anaongoza 3-2[emoji23]Kwa Monaco labda uwape ushindi wa kona + kadi[emoji23]... Juventus nao siku hizi hamna kitu, Lazio tu anamnyanyasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera, ndo ubane pumzi sasa[emoji23][emoji23]....Dakka 90 lolote laweza kutokea.Kweli aisee,,, mkeka bado unapumua hapa,, Juventas anaongoza 3-2[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app