Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji23][emoji23][emoji23]haya wahi nakusubiri ila tutapimia nyumban.Raha yake kuongozana. Oni mai wei! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]haya wahi nakusubiri ila tutapimia nyumban.
Halafu baada ya kupima nini kinafuata??[emoji124][emoji124][emoji124]
Nyumba yangu ni maabara ndogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kupimia nyumbani? [emoji848]... Basi thawa, baada ya kupima tutakwenda kula dinner sehemu. Baada ya miezi mitatu zoezi linarudiwa, mambo yakiwa safi tena; Hapo sasa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Shikamoo (mpendwa, rafiki,mkuu, kaka, baba)!
Natumai umeamka salama huko uliko, hatuna budi kumshukuru Mungu kwa uzima na baraka tele alizotujalia siku ya leo....
Kwa upande wangu narudisha sifa na utukufu kwake yeye muweza wa yote, kwa maana mimi si kitu pasipo yeye...Tuwe na j'pili njema na iliyo takatifu mbele zake.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 841294
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba yangu ni maabara ndogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata ukitaka kupima dieniei unapima[emoji23][emoji23][emoji23]
Once they eat that konokono...watch them go...That guy you think is better than your boyfriend is just being nice and caring because he hasn't slept with you yet. Be careful my sister![emoji124][emoji124][emoji124]
Aaa wapi. Haitachukua muda kama utakuweko hapa. Nshajiandaa !!![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Week hii nakuahidi siwezi kukuraribia kabisaa,kuwa na amani[emoji16][emoji16]
Za weekend poa sana[emoji23][emoji23][emoji23]... Vipi lakini, za Weekend?
Prof katika ubora wako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]OVER & UNDER.
Kwenye football tuna vipindi viwili (45dkk za kwanza na za pili)....Magoli yanayopatikana ndani ya dakka 90 = Total goals...
Kuna magoli ya vipindi = 1st Half time & 2nd half time...
Tips za football tunaanzia 0.5 goals na kuendelea, hii ni kwa ubashiri wa aidha half time goals au Total goals.
Mfano. burnley vs Watford
Over [emoji652]
a) 0.5 = kuanzia goli moja na kuendelea.
b)1.5 = kuanzia magoli mawili na kuendelea.
c)2.5 = Kuanzia magoli matatu na kuendelea.
d)3.5 = kuanzia magoli manne na kuendelea.
Magoli haya hayaangalii nani kafunga kati ya Burnley ama Watford....
Mfano, ukitabiri over 0.5, Watford akafunga goli 1 na burnley nae akafunga goli moja au zaidi basi mkeka unakuwa [emoji736][emoji736]
Burnley 2, Watford 1 = 3 goals... hivo kama ulibashiri over 2.5 mkeka unakuwa umetick..
Lakini endapo watatoka 2:1 na ukawa umewapa under 2.5 unakuwa umechana mkeka kwa maana jumla ya magoli = 3, (2+1) ni zaidi ya mawili.
UNDER [emoji652]
a) 0.5 = Wasifungane
b) 1.5 = Wasifungane ama lipatikane goli moja tu pasipo kujali kafunga Watford ama burnley
c) 2.5 = wasifungane ama lipatikane goli moja mpaka mawili, yasizidi mawili.
Mfano. no.2
Burnley 3 vs Watford 0 ...3 + 0 = 3 total goals.. kama uliwapa over 2.5 ...Win ila kama uliwapa under 2.5...Lost.
Kama hujaelewa waweza niuliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]That small dick you hate so much was meant to make children, not to satisfy your prostitution.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sauwaa tu. Nipo napendezesha ka uzi acha fitna banaMechi ya kufungia wiki imeisha. Nimewaambia Tanesco wakate umeme, hizi mechi zingine sijui akina MU hatuna haja ya kuziangalia! Numbisa! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji124][emoji124][emoji124]
Za weekend poa sana
Habari ya nansio?
Huku salama kabisa. Ndo natoka chachi. Upako balaa yaani. Sasa hivi nikikugusa unadondoka. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Shukrani brother!!
Kwema lakini huko?? Habari za weekend? Mambo ya BBQ na mvinyo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Prof katika ubora wako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Profesa unamwaga madini[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwaka huu watu.wasipotajirika, hawatatajirika tena[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unamuweka majaribuni kanjibai.HANDICAP.
Maana yake timu mojawapo inapewa ushindi wa goli/ magoli kabla ya mechi kuanza..
Mfano:- Burnley Vs Watford ( 1:0)
Kwa mfano huu timu ya nyumbani, Burnley kapewa goli moja kabla ya mechi kuanza, hivyo basi ili Watford aweze kuchukua ushindi anatakiwa afunge kuanzia magoli mawili na kuendelea..
Kumbuka hilo goli alilopewa Burnley litajumlishwa kwenye actual goals..
Hivyo Watfod atatakiwa afunge magoli kuanzia mawili ili apate ushindi.
Sent using Jamii Forums mobile app