[emoji3] [emoji3] [emoji3]3 way betting.
Huu ni ubashiri wa kawaida.
i.e 1 X 2 ( 1win, draw, 2 win)....Win, draw, loss
Mfano:- Burnley vs Watford
Kwa 3 way (1 X 2) , ukichagua moja wataka Burnley ashinde, ukichagua X wataka watoke draw/ sare...(wasifungane au wafananishe magoli). Ukichagua 2 ina maana wataka Watford ashinde.
Hapo nadhani umeelewa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifanya nicheke, [emoji23][emoji23]...Profesa unamwaga madini[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwaka huu watu.wasipotajirika, hawatatajirika tena[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unamuweka majaribuni kanjibai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli shem wiki hii sikuchokozi[emoji16][emoji16]Aaa wapi. Haitachukua muda kama utakuweko hapa. Nshajiandaa !!!
Amin....Lakini ulipaswa upige magoti wakati unamwaga salaam hizo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Shikamoo (mpendwa, rafiki,mkuu, kaka, baba)!
Natumai umeamka salama huko uliko, hatuna budi kumshukuru Mungu kwa uzima na baraka tele alizotujalia siku ya leo....
Kwa upande wangu narudisha sifa na utukufu kwake yeye muweza wa yote, kwa maana mimi si kitu pasipo yeye...Tuwe na j'pili njema na iliyo takatifu mbele zake.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 841294
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sauwaa tu. Nipo napendezesha ka uzi acha fitna bana
The Manchester City (The Citizens) | Special Thread - JamiiForums