Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasukuma hawana tabia ya kujionyesha acheni kuwaonea wasukuma.

Naomba wasukuma watoe tamko ASAP
SHIMBA YA BUYENZE
Numbisa
Sisi tunajijua. Hatuna haja ya matamko. Wema wetu. Upole wetu. Utu wetu. Ubinadamu wetu na uungwana wetu vyote vinajieleza. Ndiyo maana tunataniwa sana. Hatuna shida na mtu. "Wajanja" Wahaya na Wajita waacheni watoe matamko lakini daima matendo ni bora kuliko kubwabwaja [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
Wajita [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Na wewe leo unaukana Usukuma bageshi...

Haya Msukuma nitabakia mimi peke yangu na ushamba wangu hapa kwenye uzi. Nyie ficheni hayo makabila yenu ya kijanja [emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwishowe utauliza leo nacheka sana, hapana mnanichekesha[emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vema kwa niaba ya numbisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…