Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakina shishi trump wako vzr kwenye masuala ya jikoni,, ukipikiwa ugali na mboga mboga,,, unakuta ugali mweupe hatari hlf mboga zenyewe ndalu au msusa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe dadake na shishi trump[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe una rangi ya thao??maana wanasifika kwa rangi hiyo
(Thao-rangi nyeupe)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…