carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha stori leta samaki bhanaWe hutaki samaki bana! Samaki toka pande ile kwetu sisi wenye taaluma ya uvuvi tunajua wapi pa kuwapata hao wakubwa. Na ni wakubwa kweli!![emoji23][emoji23]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] mmmmhhhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niianalia walionizunguka sion kungwi acha hizo makungwi wapo tangaWanatoa hadi makungwi
If you know what i mean[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Juzi kuna mtu kaniuliza kuhusu kula denda nikauchuna leo wataka kujua rangi yelewiiiiiiiii mie cheusi mangalaa
Akileta tugawane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha stori leta samaki bhana
Akileta tugawane
Akileta tugawane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo samaki ni mahari ujue?
Nsasa [emoji39] [emoji39]Kuna nsansa pia,nswalu
Kitu matobolwa bila kusaha makopa
Makungwi sio huko Tanga carbaWanatoa hadi makungwi
If you know what i mean[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji123][emoji123]Mapambano yanaendelea lakini,, weekend ntatandaza tena [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante. Mama alikuwa akinisimulia wakati wa utineja wake jinsi walivyokuwa wanakusanyika pamoja kusaga unga huo kwa mikono. Walikuwa wanaita maanhe na mara nyingi ilikuwa ni katika mwamba wa asili uliojitandaza ardhini. Basi wasichana wa kijiji hata 20 walikusanyika hapo na kusaga unga wa chakula cha jioni. Wavulana pia ndiyo ulikuwa wakati wao wa kwenda kutongoza hapo. Asante kwa kumbukumbu nzuri [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Bujora?