Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwa mara ya kwanza in a loooooong loooooong time umenifurahisha. Keep it up [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu si msukuma bhana,sema wajita ndo wanatumia nguvu nyingi kumkana nduguyao maana wametoa hadi tamko la page8[emoji23][emoji23][emoji23]
Pyaar[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaongelea Wajita au Wasukuma? Umeona tamko lenu Wajita lililoandikwa na Bwire. Utafikiri PhD dissertation. Come on man [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]huo utakuwa urohoKuna wanawake aisee anaweza kumalizia nyama zote jikoni...
Si wasukuma?Unaongelea Wajita au Wasukuma? Umeona tamko lenu Wajita lililoandikwa na Bwire. Utafikiri PhD dissertation. Come on man [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa vile amelitolea tamko hili akiwa huko Ujitani basi mchukueni tu kwa kweli. Angelitolea huko Usukuma pengine tungeweza kumkubali. He is all yoursSi wasukuma?
Jamaa baba yake msukuma na mama yake mjita.Hapo mnamkanaje kuwa sio msukuma mwenzenu?😀😀😀😀
cc: carbamazepine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiiii*Wanawake muwe waelewa*
*Mwanaume akikwambia "kichwa kinamuuma" usiwe mwepesi kujibu "Baby kunywa panadol"*
Muulize kwanza "kichwa kip Baby? Simnajuwa wanaume tuna vichwa viwili na kila kimoja kina dawa yake kinapouma[emoji853][emoji853][emoji853]
Babaake Msukuma?Si wasukuma?
Jamaa baba yake msukuma na mama yake mjita.Hapo mnamkanaje kuwa sio msukuma mwenzenu?😀😀😀😀
cc: carbamazepine
Babaake Msukuma?
Kama ni kweli Msukuma wa watu alibambikiwa mimba akalea mwana si wake. Wasukuma hawajisifii kusoma sana na kupenda kuajiriwa
Sent using Jamii Forums mobile app