Naona umeamua leo[emoji23][emoji23][emoji23]Usitume meseji ya kumkweza, jaribu kuwa tofauti na wanaume wengine.
Kila mwanaume huanza kwa kumkweza msichana, mara nyingi huandika "Jana nilifurahi sana kuonana na wewe, namshukuru mungu kwa kunikutanisha na wewe, kwa ukweli ulipendeza sana sijawahi kuona katika maisha yangu toka nizaliwe", maneno kama haya yanakupotezea nafasi ya kuwa naye na yanafanya kukushusha hadhi yako, yanampunguzia msichana mvuto kwako na kukuona wewe ni wa kawaida tu na wala si chochote wala lolote kama wanaume wengine aliowakataa, kujishusha hadhi kunapoteza mvuto wa maneno unayoyaongea, kuna poteza ile heshima aliokuwa amekupa awali, kwa sababu unakua umejitoa kwenye hali yako uliokuwa umepewa ya umaalumu flani na kujiweka kuwa mtu wa kawaida, umaalumu ndo unakufanya umpate msichana na sio utu wa kawaida, tunza hadhi yako na utamvutia kama sumaku.
Naona umeamua leo[emoji23][emoji23][emoji23]
@andaeitini njoeni mpate darsa hapa
Yego yule samaki aliishia wapi tena?
Hasa huyu wa samaki haeleweki aaah wengine tumeshajiandaa kula sato wa kukaanga,ndimu pemben,chumvi na tu chips kidogo khaa mengine utalipia mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kumbe hii ina ukweli eeeh??UKITAKA KUJUA UKUBWA WA UKE WA MKEO MTARAJIWA
CHUNGUZA MIDOMO YAKE
Hahahahaha! Hivi eeeh?Tazama kidole gumba cha mguu wake,ukiona ana dole kubwa basi ndiyo maumbile ya uume wake yanaashiria ukubwa ule wa kidole gumba cha mguu,na kikiwa ni kidogo au kati kwa kati au wembamba na unene basi na maumbile yake ni hivyohivyo.Naamini umepata picha.
Jamani napenda pilipili siwezi kula chakula bila hiyo kitu kwakweli
Eee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha! Hivi eeeh?
Kumbe ndo maana vidole huwa vinashupaliwa humu ndani!!![emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sikulijua hili...Nami nitaanza kuchunguza sasa[emoji23]Eee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]