Huenda ni chapa ya Bukoba hiyoAnapenda maisha ya ndoton huku reality tabu tupu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna vipande vya kuku hatari kuonjaHahahahaha! Ama unaonja kipapatio, ukifika muda wa chakula unamsikia b'mkubwa anakwambia nipakulie vipapatio[emoji23]
Jibu lake:- Mama huyu alikuwa na kipapatio kimoja/ Naona kipapatio kimoja tu kingine sikioni[emoji23][emoji23][emoji23]
( kumbuka muandaaji + mpishi ni wewe) .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna vipande vya kuku hatari kuonja
Ndugu yake jamal malinzi,bukoba mojaa
Vp marchisio nae si free agent anaweza enda wapi?Kuna uwezekano wa 50% kwa mlinzi wa Bayern Munich Jerome Boateng, aliyehusishwa na uhamisho kwenda Manchester United, huenda akaelekea Paris St-Germain katika siku chache zijazo. (Sky Sports)
Hakuna mwanaume atatoa 500m za kumuoa yule bhana
πππππNilikuwa toilet umeme umekatika ghafla nimeshtuka utafikiri zoezi hili naliendesha kwa kutumia umeme.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wanawake wa kuwatolea 500m ila sio yule
Mnaongelea maini gani? Haya ya kawaida au yale ya "Ng'ombe hazeeki maini?"
Ili uoe[emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh, labda za kuchezea, ml 500 jamani ili iweje!!?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]