myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
HAKUNA watumishi wa serikali wenye dharau kama manesi wa dispensari za vijijini ............ mtu umeshusha suruali ili akuchome sindano alafu anakuuliza "HAYA MATAKO ULIPAKA MAFUTA LINI???" Sasa inamuhusu nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu angekuwa anabondwa kila uchao, huwezi kula firigisi ya mkuu wa kaya[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] labda wanataka kuwapaka mafuta, sema tu wanashindwa kunyoosha maneno[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hakuna kitu kama hicho...
Akili za usiku tu na mawenge ya kutapatapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ili umuoe divaMmmh, labda za kuchezea, ml 500 jamani ili iweje!!?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ujinga tu, wanaongeaga bila kuwa na akiba ya maneno.....Dharau nyingi..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Huwenda ni Bukoba girl[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa hiyo wanawake wa kiislamu uwa wanafungua mapema kabla muda
[emoji23][emoji23][emoji23].Hahahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] msambwanda anao au nyodo zake tu?
Hiyo staili kali sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hauchafuki kirahisi ugali ulioiva unadondoka bila kuacha alama
Na kwako pia mkuu sikukuu njema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sahani zingekuwa zapishana kwenye magroup....[emoji23][emoji23]*Hadi dakika hii cjaona aliepost mapilao,hakika Mungu ni mwema nchi inazungumza lugha moja sasa*🤣🤣🤣🤣
Tofaut na awam zilizopita mida hii ungekuta group limechafuka vyakula[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana shaka mkuuKaribu kwetu mkuu tulambe vidole[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa si watakuwa wamefunguliaWanaonja mkuu
Yaani vyakula vimejaa hapa ndani naishi na majirani vizuri sana shida moja tu VAT 69 sijaona mtu kuleta[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kaombe maji ya kunywa kisha uanze kujichekesha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wivu umemzidi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo babe s simu yake sijui umeificha wapi hata hatumuoni humu
Minal MinkumMinal Minkum