Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Poti Eid Mubarak
[emoji23][emoji23][emoji23]pole sanaNi mtu wa amani mimi. Sipendagi makelele kabisaa. Na kwa jinsi alivyokuwa amewaka yule si ajabu angenijazia watu mtaani aisee. Sikuwa na ujanja kabisaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha, duu mpaka matembele unayawekea kisosi...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Matembele huwa sionji kakake,yale huwa nakula kabisa[emoji23][emoji23]ila matembele matam jamani
Mkuu namshukuru Mungu, inaendelea vizuriAlhamdulillah, tunashuru, unaendeleaje mkuu
Dakika 2 nyingi sana, vumilia tu punde tu utaitwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa mfumuliwaji atakuwa na uhakika gani kama mfumuaji hakua na madhumuni ya kukosea makusudi?[emoji23][emoji23][emoji23]Sitakaa nifumue mtu nywele tena. Nefaaaaa! Labda nikusainishe waiver/disclaimer kuwa kila kitakachotokea baada ya mfumuano ni juu yako na mimi mfumuaji sihusiki...
Halafu inasaundi kama tunaongelea mfumuano mwingine na siyo nywele...Mhhh...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mzee wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nami nilielewa hivyo... Yaani "mfumuano" kwa mkataba?!!
Kakake hata kama gharama zilikuhusu,usijaribu kamwe
Utanyimwa konokono na wifi shauri yako[emoji23][emoji23]
Naendelea vizuri jirani...asanteni sanaJirani habari ya afya yako
Hayo yanawekewa bakuli yakiiva ni kuyala tu hakuna kusubiri ugali[emoji16][emoji16]Hahahaha, duu mpaka matembele unayawekea kisosi...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakake hii kitu usijaribu la sivyo utakuja toa ushuhuda humu na kusema laiti ningejua[emoji16][emoji16][emoji16]Raha ya konokono sharti aliwe na kachumbali[emoji3] [emoji3] [emoji3] hizo nywele ni sehemu ya kachumbali dadake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raha ya konokono sharti aliwe na kachumbali[emoji3] [emoji3] [emoji3] hizo nywele ni sehemu ya kachumbali dadake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Naendelea vizuri jirani...asanteni sana
Kakake hujamuona alivyo mrembo?[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shwaini kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nami nilielewa hivyo... Yaani "mfumuano" kwa mkataba?!!
"Hasa hizi za kichwani"Ogopa sana nywele za mwanamke (hasa hizi za kichwani). Likibumburuka unaweza hata kuachishwa kuangalia mechi kali ya Livapuu ili uende kutafuta wigi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], jamaniiiiiiSitakaa nifumue mtu nywele tena. Nefaaaaa! Labda nikusainishe waiver/disclaimer kuwa kila kitakachotokea baada ya mfumuano ni juu yako na mimi mfumuaji sihusiki...
Halafu inasaundi kama tunaongelea mfumuano mwingine na siyo nywele...Mhhh...