[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuonja hakujawahi muacha mtu salama[emoji3] [emoji3] [emoji3] nimekwambia kuoja si lazima uonje mnofu wa kuku[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] vya kuonja ni vingi
Nikweli kabisa ila inatokana na mambo mambo flani hivi
Mie nalike kweli lakini mie huwa sipewi like why
Okay....karibu tenaNikweli kabisa ila inatokana na mambo mambo flani hivi
Mpambe nipo standby kula samaki tu
Watatuua ikitokea. Utamuona wapi JIRANI mzee wa pipi ukifutwa?Kuna watu huu uzi wanatani ufutwe
Hapa nasema hivi,no wani laiki yu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126]
Shukrani sana mrembo
Mtoto yupi tena?
Pilau tamu sanaHapana chezea pilau aiseh
Mpambe nipo standby kula samaki tu
Unaotembea eeeh?[emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
@Numby sikuhizi kawa changamoto[emoji23][emoji23]Watatuua ikitokea. Utamuona wapi JIRANI mzee wa pipi ukifutwa?
Utampata wapi jirani wa kumpa ili kisioze?
Wakiufuta maana yake na "mfumuano" itakuwa ndio basi tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapi tutapata elimu ya nene fupi, ndefu nyembamba, sijui vidole vya miguuni sijui vina wakilisha nini!! Eti au achunguzwe Mange vidole vyake[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani Numbisa ni shida sana
Watuacheeee...
Dadeq [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3]
Aaaaah bana kimdabuo siwez mieee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mahari yaliwa na bibi kharusi,kama utakubali mitala sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]@Numby sikuhizi kawa changamoto[emoji23][emoji23]
Mamaa mlonge
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya mambo hayanaga uzee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], naona umehifadhi kwa matumizi ya baadaye.
Sent using Jamii Forums mobile app