Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nikajaribu kumuoa huyo kizau zau anayejianika mitandaoni?[emoji3] [emoji3] [emoji3] kumuoa mwanamke kama huyo ni sawa na kufuga jini[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hii kauli ya jini imenichekesha sana....Kuna baba mmoja anamwitaga mkewe jini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sigara ina madhara yanayohatarisha Maisha
Watoto ambao wazazi wao wanavuta sigara wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata mangojwa kama ya pumu na athari katika mapafu. Utafiti unaonesha kuwa madhara ya uvutaji wa sigara kwa watoto uonekana pale anapokuwa mtu mzima.
Vilevile madhara ya sigara yanaweza kusababisha ongezeko la magonjwa sugu na maisha ya utegemezi hapo badae.
 
Mji mkuu wa Indonesia Jakarta ni nyumbani kwa watu milioni 10 lakini mji huo pia unazama kwa kasi zaidi duniani. Ikiwa hatua hazitachukuliwa sehemu za mji huo mkubwa huenda zikazama kabisa ifikapo mwaka 2050 kwa mujibu wa watafiti.
Mji huo uko eneo lenye kinamasi kando mwa bahari, huku mito 13 ikipita kwenye mji huo na hivyo sio jambo la kushangaza kuwa mafuriko ni jambo la kawaida mjini Jakarta kwa mujibu wa wataalamu, hali inayozidi kuwa mbaya na mji huo ukizidi kutoweka.
 
Uwezekano wa Jakarta kuzama sio jambo la kufanyiwa mzaha," anasema Heri Andreas, ambaye amechuguza kutokewa kwa ardhi kwenda mjini Jakarta kwa miaka 20.
"Tukiangangalia uchunguzi wetu ifikapo mwaka 2050 karibu asilimia 95 ya eneo la Kaskazini mwa Jakarta litakuwa limezama.
 
Tayari inafanyika - eneo la Kaskazini mwa Jakarta limezama mita 2.5 katika kipindi cha 10 na linazidi kuzama kwa karibu sintimita 25 kwa mwaka sehemu zingine.
Jakarta huzama kwa kasi ya sentimita 1-15 kwa mwaka na karibu nusu ya mji uko chini ya bahari.
 
Athari tayari zimeonekana Kaskazini mwa Jakarta.
Kwenye wilaya ya Muara Baru, jengo lote la ofisi limebaki mahame. Awali ilikuwa ni kampuni ya uvuvi lakini ghorofa ya kwanza ndiyo tu inaweza kutumiwa.
 
Watatuua ikitokea. Utamuona wapi JIRANI mzee wa pipi ukifutwa?
Utampata wapi jirani wa kumpa ili kisioze?
Wakiufuta maana yake na "mfumuano" itakuwa ndio basi tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapi tutapata elimu ya nene fupi, ndefu nyembamba, sijui vidole vya miguuni sijui vina wakilisha nini!! Eti au achunguzwe Mange vidole vyake[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani Numbisa ni shida sana
Watuacheeee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom