Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manispaa moja hivi karibuni ilikiri kuwa visima haramu vimekuwa tatizo.
Mwezi Mei mamlaka za mji wa Jakarta zilikagua majengo 80 kati kati mwa Jakarta, mtaa wa Jalan Thamrin kwenye majengo marefu, maduka na mahoteli. Iligundua kuwa majengo 56 yana visima vyao na 33 yalifanya hivyo bila vibali.
 
Fuata ushauri wa dadako. Kamwe usichezee nywele za mwanamke (hizi za kichwani) no matter what unless kama una laki kadhaa za kununulia wigi. Halafu wakiwa na hasira hawachagui mawigi ya bei rahisi aisee. Utang'ang'anizwa ulipie hata wigi la milioni ukizubaa

Aseeeee, wengine bila kugusa nywele konokono haliki[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Sijawahi kufumua nywele za binti wa Kijita. Nasikia wana nywele laini nyeusi na zenye mvuto zinukiazo vyema; na tena wanajua sana kuzitunza. Niko tayari kuzifumua ukitaka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️

Hahahahahaaha, "mfumuano"[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom