carbamazepine, nasubiri mwaliko ujue, ooh! Saa Magharibi ishapita lakini naona kimya tu! [emoji848][emoji6][emoji6]
Mkihitaji huduma ya kufumuliwa nywele mnaweza kumcheki ngosha SHIMBA YA BUYENZE
cc: Numbisa carbamazepine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu aendelee kukupigania upone kabisa...Tumemiss kusikia mmumunyo wa pipi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie nasubiri samaki nipike ujue??
Kama samaki hakuna leta hata dagaa basi
Kama najisikia kuingia iginoa listi vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 844296
[emoji124] [emoji124] sijui ukorofi kwa wa upande wa pili utaacha lini?!!! View attachment 844299
Jolie Club bila msambwanda dau halifiki zaidi ya buku. Hata walevi wako makini sana. Usimdanganye [emoji16][emoji16][emoji16]
Fuata ushauri wa dadako. Kamwe usichezee nywele za mwanamke (hizi za kichwani) no matter what unless kama una laki kadhaa za kununulia wigi. Halafu wakiwa na hasira hawachagui mawigi ya bei rahisi aisee. Utang'ang'anizwa ulipie hata wigi la milioni ukizubaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni mtu wa amani mimi. Sipendagi makelele kabisaa. Na kwa jinsi alivyokuwa amewaka yule si ajabu angenijazia watu mtaani aisee. Sikuwa na ujanja kabisaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jizazi...
HahahahahaSitakaa nifumue mtu nywele tena. Nefaaaaa! Labda nikusainishe waiver/disclaimer kuwa kila kitakachotokea baada ya mfumuano ni juu yako na mimi mfumuaji sihusiki...
Halafu inasaundi kama tunaongelea mfumuano mwingine na siyo nywele...Mhhh...
Asante kwa promo bro. Nikija kuomba nyongeza ya hela za mawigi usinikimbie
Kweli mkuu wala sibishi wanatumia gharama sana kuzitengeneza hata wakilala wanaziangalia kwa makini sanaOgopa sana nywele za mwanamke (hasa hizi za kichwani). Likibumburuka unaweza hata kuachishwa kuangalia mechi kali ya Livapuu ili uende kutafuta wigi.
Sijawahi kufumua nywele za binti wa Kijita. Nasikia wana nywele laini nyeusi na zenye mvuto zinukiazo vyema; na tena wanajua sana kuzitunza. Niko tayari kuzifumua ukitaka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nami nilielewa hivyo... Yaani "mfumuano" kwa mkataba?!!
Amun RaMinal faidhina, Poti!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani hata mimi sijui kwakweli[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 844312
Hahhaahha[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana
Yaani sipati picha ulivyokuwa umenywea na zile baby baby samahani[emoji23][emoji23][emoji23]waaah
"Mfumuano" [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mkuu habari za sikukuuMkuu namshukuru Mungu, inaendelea vizuri