Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Uaminifu = Upendo= Kudumu kwa mahusiano Pamojana ukweli kuwa mwenza wako anatarajia utakuwa muanifu kwake, elewa kuwa kuwamwaminifu pekee katika mahusiano yako sio tiketi ya kudumu kwa mahusiano yenukwakuwa watu wanaingia kwenye mahusiano sio tuu kwa kuwa wanataka kuwa na mtummoja muaminifu bali wana mahitaji mengine wanayohitaji. Zungumzana mwenza wako, fanya utafiti wako binafsi kuhusu mpenzi wako ujue mambomengine anayohitaji toka kwako. Pia msikilize anapokutaka urekebishe mambokadhaa au ufanye mambo fulani. Inapendeza pale unapomfanyia mtu
mamboyanayompendezesha kwa kuwa hivyo ndivyo anavyotaka, sio kwakuwa tuu weweunadhani kufanya hivyo kutampendezesha mhusika.
mamboyanayompendezesha kwa kuwa hivyo ndivyo anavyotaka, sio kwakuwa tuu weweunadhani kufanya hivyo kutampendezesha mhusika.