Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umenikumbusha mkasa wa jamaa mmoja alikua amelazwa wodi ya watu wawili,usiku mwenzie akafariki weeee jamaa hata hapajakucha akijipa ruhusa mwenyewe,alikua anaumwa balaa hana nguvu mbona alipona ghafla na nguvu tele kifo kinaogopwa sana
Ndugu yangu ukisha shuhudia ule ukoromaji na kujirusha rusha halafu anyamaze kimyaaa... Ukute wewe umelazwa kwa tatizo la kuteguka mguu. Niseme tu uji wa mgonjwa wa asubuhi nitaunywea nyumbani, nimefikaje home nadhani sitakuwa na jibu sahihi
 
KUKOSA MSIMAMO.
Hii kitu huwakuta wengi sana kwenye mapenzi ya siku hizi. Nadhani ni hali halisi ya dunia ya sasa inachangia pia pamoja na teknolojia tuliyonayo ya kutuwezesha kufanya yale tunayoyaona kwenye mitandao na vyombo mbali mbali vya habari.


Wapenzi wengi siku hizi wamekosa msimamo kwenye mapenzi/mahusiano yao na unakuta tu mmoja anakuwa na wapenzi zaidi ya mmoja na wanakuwa hawafahamiani huku kila mmoja akijua kuwa yeye ndo kila kitu kwa mpenzi wake
 
 
Ndugu yangu ukisha shuhudia ule ukoromaji na kujirusha rusha halafu anyamaze kimyaaa... Ukute wewe umelazwa kwa tatizo la kuteguka mguu. Niseme tu uji wa mgonjwa wa asubuhi nitaunywea nyumbani, nimefikaje home nadhani sitakuwa na jibu sahihi
Kweli,pia kuna babu mmoja alikua mgonjwa sana basi wakiwa kwenye gari kwenda hosp si gari ikapinduka hee wale waliokua na mgonjwa wakawahi kujiokoa,wakiwa wanajifuta vumbi wakamkumbuka mgonjwa kwenda kumsaka kwenye gari hayupo kumbe mwenzao ndo alikua wa kwanza kuruka kajilaza pemben anawaangalia tu
 
KUTOJALI/KUTOKUWA NA MSAADA.
Hii pia kwa kiasi kikubwa inaumiza sana na kupelekea kushuka kwa thamani ya mapenzi miongoni mwa mahusiano mengi haa duniani. Kama kweli unampenda mpenzi wako basi msaidie anapopata matatizo na umjali na kumchukulia kama mpenzi wako na mtu wako wa karibu na sio kukimbia majukumu bila sababu zote za msingi.


Kama huwezi kujali na kusaidia basi usiingie kwenye mahusiano ni bora ukae mwenyewe kuliko kuwepo sehemu usiyotakiwa.
 

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji28] [emoji28] huyo nesi anaweza akakumaliza ili uwe mteja kwa biashara ya mume wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mume: mama Cons
Mke : abeee
Mume: Cons amerudishwa kwa ajili ya ada
Mke : itakuwaje sasa?
Mume: kafanye maarifa ofisini kwako
Mke : sawa,nitakujulisha nimefikia wapi...

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji382] [emoji381] Shwaaini zao
 

Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu nimecheka kwa sauti mpaka watu wameshangaa, yani hapa tuliosoma somo la siasa tupo wengi tu
 
Mume: mama Cons
Mke : abeee
Mume: Cons amerudishwa kwa ajili ya ada
Mke : itakuwaje sasa?
Mume: kafanye maarifa ofisini kwako
Mke : sawa,nitakujulisha nimefikia wapi...

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji382] [emoji381] Shwaaini zao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana...ulivyoandika kama una experience vile [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiniona utaikumbuka hii kauli baada ya kunisalimia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
KUTOJALI/KUTOKUWA NA MSAADA.
Hii pia kwa kiasi kikubwa inaumiza sana na kupelekea kushuka kwa thamani ya mapenzi miongoni mwa mahusiano mengi haa duniani. Kama kweli unampenda mpenzi wako basi msaidie anapopata matatizo na umjali na kumchukulia kama mpenzi wako na mtu wako wa karibu na sio kukimbia majukumu bila sababu zote za msingi.


Kama huwezi kujali na kusaidia basi usiingie kwenye mahusiano ni bora ukae mwenyewe kuliko kuwepo sehemu usiyotakiwa.
 
UBAHILI.
Huna sababu yoyote ya kuwa na pesa na mpenzi wako akawa anapata tabu kama vile humuoni. Sijasema utoe pesa hata kwa mambo yasiyo na msingi lakini at least utimize majukumu yako kwa mpenzi wako kila unapohitajika.


Kuna vitu vingine hata huhitaji kuambiwa kama unatakiwa kuvishughulikia, ni wewe mwenyewe tu kuwa responsible kumhudumia mpenzi wako. Na hii huwa ina-apply sana kwa wavulana kutokana na kasumba iliyojengeka na mila tulizozikuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…