Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati kuna raia wanalala njaa,, Samaki Samaki watu wanatumia na bili inasomeka hv 2.5mil
tapatalk_1535205033048.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona eeh??
Yaani mtu anatoka alikotoka anaanza kuinama kuchota/kunywa maji...
Hajui kama ndoo ni safi ama chafu,kama kata imekaaje leo ama kisima kama kina maji ama kikavu.
Yeye anajua kunywa maji tu[emoji124][emoji124][emoji124]
Maandalizi ya kata + ndoo yanatakiwa kuchukua muda mrefu kuliko kunywa maji, sasa wengine wanafanya vice versa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom