Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umeona eeh??
Yaani mtu anatoka alikotoka anaanza kuinama kuchota/kunywa maji...
Hajui kama ndoo ni safi ama chafu,kama kata imekaaje leo ama kisima kama kina maji ama kikavu.
Yeye anajua kunywa maji tu[emoji124][emoji124][emoji124]
Mchotaji wa aina hyo anakuwa ametoka jera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
446303303_266633.jpg
 
Back
Top Bottom