Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbe darasa lilishaanza? Sikujua bro. Nafuta kauli yangu hapo juu. Na kwa prof kama yule mwezi mmoja tu tayari unakuwa na native speaker competence kabisa...Hongera bro [emoji122][emoji122][emoji122]
Yes kwa kawaida huwa sipendi aibu, kwa vyovyote vile nisengemwangusha mwl wangu huyu. Shukurani zangu nyingi kwake Pyaar sito kuangusha.
 
Ok, hebu tuanze hivi, ni mara ngapi ushawahi kuingia katika basi ukakutana na mwanamke mrembo ukamtamani? Ama ni mara ngapi ukiwa ndani ya gari ushawahi kumwona mwanamke mrembo ameingia na kukaa mbele yako? Ni mara nyingi. Mambo kama haya hutokezea kila siku. Mwanzo kila siku unapoabiri basi huwa unakutana na wanawake tofauti tofauti na warembo. Na je, unajua mbinu ya kuwaaproach uanze mazungumzo? Somo letu litafafanua kwa upana.

Aseeee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
1. Kinga zake ameziweka chini. Katika gari za usafiri mwanamke huwa hayuko katika hali ya kutangamana, so hatakuwa na mawazo katika akili yake kama vile anavyokuwa katika kilabu. Mfano hafikirii mbinu za kukabiliana na wanaume wanaoudhi ama kuwa na wasiwasi wa kwanini hakuna mtu mpaka sahizi amemuaproach. Nguvu zake zote katika gari la usafiri huwa zimetulia ukilinganisha na wakati ameenda kula bata na marafiki zake usiku. Katika hali hii huwa ni rahisi kumuaproach na anaweza kuungana na wewe kirahisi bila matatizo.

Aseeee[emoji119] [emoji119] [emoji119] tiririka
 
OKTOBA 27, huko kwenye Ligue 1 itakuwa siku ya mashabiki wa Arsenal kutupia macho kwenye Ligi Kuu Ufaransa kutazama mastaa wao matata kabisa wa enzi hizo, Thierry Henry na Patrick Vieira watakapoonyeshana ubabe wakiwa makocha.

Henry amechaguliwa kuwa kocha wa Bordeaux hiyo ina maana atakwenda kuchuana na kocha wa Nice, Vieira kwenye mechi ya Ligue 1 baada ya Wafaransa hao wawili kuamua kurudi Ufaransa kufundisha timu za nyumbani.

Mastaa hao muhimu sana kwenye kikosi cha Arsenal wakati walipokuwa wakitamba kwenye Ligi Kuu England, ambapo msimu wa 2003/04 walicheza bila ya kupoteza mechi hata moja.
 
Lakini ni wapi walipo kwa sasa mastaa wengine wa ile Arsenal isyoshindika kwenye Ligi Kuu England katika msimu wa 2003-04?

Kocha wao alikuwa Arsene Wenger, ambaye kwa sasa hana kazi.
 
Thierry Henry

Kinara wa muda wote wa mabao huko Arsenal. Henry amejengewa hadi sanamu nje ya Uwanja wa Emirates, lakini aliachana na kazi ya kunoa kikosi cha umri chini ya miaka 18 huko Arsenal na kwenda kufanya kazi ya kuchambua soka kwenye televisheni ya Sky Sports.

Henry kisha akajiunga na Ubelgiji akiwa msaidizi wa Kocha Roberto Martinez na walifanikiwa kuisaidia timu hiyo kushika nafasi ya tatu kwenye fainali za Kombe la Dunia 2018 huko Russia. Kwa sasa ni kocha mkuu wa timu ya Bordeaux.
 
3. Una mstari ambao unafanya kazi kila wakati. Kuanza mazungumzo na mwanamke ni rahisi katika magari ya usafiri. Sentensi kama, "Unasafiri ukielekea wapi?" Tayari inaweza kuamsha mazungumzo yasiyokuwa na mwisho.


Ok. Hapo juu tumeonyesha sababu muhimu ambazo zinafanya kuapproach mwanamke katika gari la usafiri kuwa rahisi kuliko zote.

Kuna aina tatu za kumtambua mwanamke abiria. Nazo ni kama zifuatazo:



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Patrick Vieira

Kama ilivyo kwa Mikel Arteta, Vieira alijiunga na benchi la ufundi la Manchester City baada ya kuachana na maisha ya soka akiwa mchezaji na huko Man City alikuwa kwenye timu ya watoto. Kisha alienda kuinoa timu nyingine ya Man City, New York City FC huko kwenye Ligi Kuu Marekani na baada ya kuonekana kuwa vizuri, Vieira amepewa kazi ya kuinoa Nice na amekubali licha ya hapo awali kuhusishwa na mpango wa kwenda kumrithi Arsene Wenger huko Arsenal. Kwa sasa Arsenal inanolewa na Unai Emery.
 
Jens Lehmann

Kipa huyo Mjerumani alikuwa mmoja kati ya waliotikiswa kwenye benchi la ufundi la Arsenal baada ya ujio wa Unai Emery.

Lehmann ilibidi aondoke tu Arsenal ikiwa ni baada ya kuwa kwenye benchi la ufundi la timu kwa miezi 12 chini ya Arsene Wenger. Kipa huyo alionekana kuguswa na kitendo cha kuondolewa, akisema lile kundi lote la Arsenal isiyoshindika halitakiwi kwenye timu hiyo. Kwa sasa Lehmann yupo tu.
 
Sol Campbell

Kutoka kujigamba kwamba yeye ni mtu mwenye akili ya mpira hadi kujiingiza kwenye masuala ya siasa akiwa Mbunge wa Conservative, Campbell maisha yake baada ya kujizulu soka yamekuwa matamu kweli kweli. Beki huyo wa kati wa zamani huko Arsenal na England, alipiga sana kelele za kutokuwapo kwa makocha weusi kwenye Ligi Kuu England na kulalamika kitendo cha timu za ligi za juu kushindwa kumpa ajira licha ya kufanya vyema kwenye ligi za chini. Campbell alikuwa kocha msaidizi wa Timu ya Taifa ya Trinidad na Tobago.
 
Hali #1 Mumesimama nje ya gari la usafiri unangojea kuingia ndani ukamwona mwanamke unayempenda. Katika hali hii mara nyingi hutokea katika basi. Abiria wote wako nje wanangojea kuabiri basi, halafu ghafla ukakutana na mwanamke unayevutiwa. Hatua ya kufanya hapa ni rahisi. Unachotakiwa kuanza ni kwenda hadi pale alipo, simama karibu yake halafu umwambie, "Waah, leo abiria ni wengi/wachache. Hivi unaelekea wapi?" Hapa atakujibu bila wasiwasi wowote sababu kinga zake zote ameziweka chini (sababu tumeeleza hapo juu).

Chini wapi mkuu
 
Ashley Cole

Kwa wachezaji wote waliokuwa kwenye kile kikosi cha Arsenal Invincibles, yaani Arsenal iliyoshindika, Cole hakuwekwa kwenye kitabu cha wakali hao kwa sababu ya kuhofia kuwatibua mashabiki wa Arsenal ambao walichukizwa na uamuzi wa beki huyo wa kushoto kutimkia Chelsea.

Kwenye orodha ya wachezaji wa Arsenal ile, Cole bado anacheza hadi sasa, akiwa kwenye kikosi cha LA Galaxy sambamba na mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic. Beki huyo bado anacheza na mapema mwezi huu alifunga bao kwenye sare ya 2-2 dhidi ya Colorado Rapids kwenye Ligi ya MLS.
 
Lauren

Kipenzi cha mashabiki wa Arsenal hakika. Beki huyo wa kulia alipendwa sana na mashabiki wa Arsenal na alikuwa kipenzi cha Kocha Arsene Wenger pia kwenye kikosi hicho cha Emirates. Kwa sasa staa huyo wa zamani wa Cameroon anafanya kazi ya kuchambua soka kwenye televisheni ya Sky Sports, lakini kwa upande wa soka la Hispania na amekuwa akifanya uchambuzi pia BBC na Eurosport huku akifanya kazi yake ya kuwa balozi wa Arsenal.
 
Kolo Toure

Beki huyo wa zamani wa Ivory Coast, Kolo Toure amekubali kuwa kwenye benchi la ufundi la timu ya Celtic akiwa msaidizi wa Kocha Brendan Rodgers baada ya kutundika daruga zake mwishoni mwa msimu uliopita alipokuwa akikitumikia kikosi hicho cha mabingwa wa Scotland. Toure alifanya kazi ya kuwa kocha pia wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast katika michuano ya Mataifa ya Afrika 2017.
 
Gilberto

Kiungo wa Kibrazili, Gilberto, ambaye huko Arsenal walimpachika jina la ‘Ukuta Usioonekana’ kwenye majira haya ya kiangazi alikuwa gumzo baada ya kuripotiwa alimshawishi kiungo mwenzake wa Kibrazili, Fred kuihama Shakhtar Donetsk na kwenda kujiunga na Manchester United.

Gilberto amekuwa akijihusisha pia na mradi wa Street Football League, huko Uingereza, ambao umejikita zaidi katika kuandaa mechi za hisani za soka kwa ajili ya kusaidia wasiokuwa na makazi.
 
Back
Top Bottom