Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akikujibu usimalizie hapo, mwambie pia wewe unaelekea wapi. Katika mazungumzo yenu hakikisha unaongea mada ambazo zinazungumzia usafiri, usiingize siasa wala michezo. Halafu kuaproach hivi lazima uwe mtu asiyemwoga. Kama unatatizika na uoga wa kutojiamini ingia hapa

Anadaetini waoga someni madini hayo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Dennis Bergkamp

Bergkamp aliamua kujiweka mbali na masuala ya ukocha na alikataa ofa ya kutoka Arsenal kwenda kuwa sehemu ya benchi la ufundi la timu hiyo na kuamua kupumzika na familia yake baada ya kustaafu soka.

Lakini baada ya Mdachi huyo kuamua kuingia kwenye ukocha, amekuwa sehemu muhimu kwelikweli katika maendeleo ya klabu ya zamani ya Ajax ya huko Uholanzi akishiriki vyema kutengeneza makinda wa maana akiwa kocha msaidizi. Lakini alifutwa kazi Desemba mwaka jana.
 
Freddie Ljungberg

Ljungberg ni mchezaji pekee wa ile Arsenal ya Invincible, ambaye amerudi kwenye timu hiyo huko Emirates akiwa kocha wa timu ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 23. Kocha Ljungberg mechi yake ya kwanza kuisimamia Arsenal ya ilikuwa dhidi ya Brighton uwanjani Emirates wiki iliyopita. Huko nyuma aliwahi kuwa kocha wa timu ya vijana chini ya miaka 15 kabla ya kwenda kujiunga kwenye benchi la ufundi la Wolfsburg ya Ujerumani akiwa kocha msaidizi kabla ya kuondolewa Septemba mwaka jana.
 
Robert Pires

Winga matata kabisa, Roberto Pires alikuwa mmoja kati ya waliokuwa wakipanga benchi la ufundi huko Arsenal hadi hapo mwishoni mwa msimu uliopita ambapo alionekana kuwa tayari kutaka nafasi kwenye benchi la ufundi la Arsenal chini ya Kocha Emery.

Kwa sasa Pires anafanya zaidi kazi za ubalozi wa timu hiyo akihusika kwenye kutambulisha jezi mpya zitakazotumika na timu hiyo kwa msimu huu.
 
Waliokuwa wakianzia benchi

Beki, Martin Keown kwa sasa anafanya kazi ya kuchambua soka kwenye televisheni za BBC na BT Sport huku akiwa na kolamu yake pia kwenye Sportsmail, wakati Ray Parlour kwa sasa ni mchambuzi wa soka kwenye talkSPORT na amekuwa akitangaza pia mechi za soka kwa kushirikiana na Alan Brazil. Mbrazili, Edu amekuwa akifanya kazi na Timu ya Taifa ya Brazil akiwa meneja na aliwahi kuwa kocha msaidizi wa Iran chini ya Carlos Quieroz kwenye Kombe la Dunia 2014 na Gael Clichy, aliyekuwa kinda wa wakati huo badi anacheza hadi sasa akiwa kwenye klabu ya Istanbul Basaksehir ya Uturuki.
 
Sasa mazungumzo yenu hayaishi hapo nje, lazima uingie ndani ya gari. Sasa hapa kuna changamoto kidogo. Kama unaingia ndani ya gari ambalo kiti unajichagulia mwenyewe utakuwa umefaulu kumnasa. Kama tayari mumepewa tiketi ambayo kila mtu ameandikiwa kiti chake itakuwa vigumu kuendelea na appraoch kwa huyu mwanamke kama kiti chako ni nambari 12 na yeye ni 35.

Unamuhamisha jirani yake kwa kununua siti ya huyo mtu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Turudi kwa kujichagulia kiti mwenyewe; Wakati mnapoingia kwa basi, unamwambia maneno kama, "Mi hupenda kuketi katika viti ya katikati, ingekuwa bora tukae katika viti vya nambari 23 na 24." Ukimwambia maneno kama haya hawezi kupinga. Mwanzo ushajitokeza kama mwanaume alpha, jambo ambalo wanawake wanapenda.

Andaeitini.....
 
NB Wakati mnapowasiliana, hakikisha mazungumzo yenu hayavunjiki. Kuna abiria wengine huongea dakika mbili tu halafu kule kwingine wanaua mazungumzo, haupaswi kufanya hivyo. Hakikisha pia katikati ya mazungumzo yenu unachukua namba yake ya simu. Halafu wale wanaopenda kufanya vituko wakiwa safarini unaweza kutumia ile mbinu yetu ya kuwasisimua wanawake.
Mbinu ipi Ester?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1535198783220.jpg
 
.....TAARIFA ZISIZO RASMI ZINA SEMA KUWA


....WANAUME WANAOMBA SANA NAMBA KULIKO KUMWOMBA MUNGU [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji473][emoji473]



[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom