Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umeona eeh??
Yaani mtu anatoka alikotoka anaanza kuinama kuchota/kunywa maji...
Hajui kama ndoo ni safi ama chafu,kama kata imekaaje leo ama kisima kama kina maji ama kikavu.
Yeye anajua kunywa maji tu[emoji124][emoji124][emoji124]
Maandalizi ya kata + ndoo yanatakiwa kuchukua muda mrefu kuliko kunywa maji, sasa wengine wanafanya vice versa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…