Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umeona eeh??
Yaani mtu anatoka alikotoka anaanza kuinama kuchota/kunywa maji...
Hajui kama ndoo ni safi ama chafu,kama kata imekaaje leo ama kisima kama kina maji ama kikavu.
Yeye anajua kunywa maji tu[emoji124][emoji124][emoji124]
Tena kunywa kwake kwa kufakamia[emoji23]..Hapo kisima lazima kiwe kaukau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…