Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kajamaa itakuwa kanazingatia ule msemo wa tafuteni bila kuchoka[emoji23][emoji23][emoji23]...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha! Kujua kuupamba mtongozo nako kipaji, humuoni ndg yangu kila siku anahangaika kubebelea michupa, miglass, mirozi rozi, kawa kama weita sasa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kutongoza kwa kusifia raha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata sijui nani alitudanganya kuwa ile inayo toa moshi angani ni roketi!!!
Hahahaha! Kazana utang'oa.Dunia hii ukichoka kutafuta kabla ya kupata unachokitafuta umekwisha! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mimi huyuuuu [emoji15] [emoji15]Ushantangaza eee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekuja kukuchukua NumbisaHahahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]numbisaaaa,numbyyyyyy
Yaani kaisiki ni chizi sijapata kuona
Wee..!Wazee wa like...
Nipeni Numbisa niondoke nae.
Tumtegemee Mungu kwa kila jambo, penye ugumu ndipo pekee panapo patikana mafanikio. Tusichoke kupambana maana hatujui lini tutapata... Shukuru Mungu amekuonyesha njia ya kupitaShukrani sana Mkuu! Tunapambana na hali zetu! [emoji23][emoji23]
Mmmhh chukua hio GIF uondoke nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa like...
Nipeni Numbisa niondoke nae.
Jiraniiii,mzima?22:45
GIF ya nini sasa?Mmmhh chukua hio GIF uondoke nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 847890
Nakuamini binti yangu mzuri. Ledada sijamuona,yupo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mimi huyuuuu [emoji15] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha! Kujua kuupamba mtongozo nako kipaji, humuoni ndg yangu kila siku anahangaika kubebelea michupa, miglass, mirozi rozi, kawa kama weita sasa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe kazi kama umeshindwa...Niwe kuwadi[emoji23][emoji23]Aah, wewe nae unanikandia tu huko. Badala ya unipe moyo! [emoji848][emoji1][emoji1]