Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

During sex, some women who decide to be on top should always make sure their boobs are standing. We are tired of always protecting our faces from them always slapping us. PHACA PHACA u whooooh [emoji24][emoji24][emoji113][emoji23][emoji23]
*****[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
445739663_271277.jpg
 
Kakako anakaribia kuwaka akidhani nimemwambukiza usukuma. Wajita nanyi mna kauhaya haya ama? Nilifikiri mko humble and down to Earth. Hovyo kabisa [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
Mmmmh! Sisi hatunaga mambo ya unshomile bwana...Huyo atakuwa kaambukizwa tamaduni za watu[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof, leo hujanisalimia na roho yangu inaumia. Kuna darasa lolote ambalo liko wazi ninaloweza kujoin? [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilipitiwa tu rafiki mpendwa, Shikamoo SYB!
Habari ya uzima, waendelea vyema?

Kwa upande wangu namshukuru aliye juu, uzima upo tele.
Samahani kwa kukuumiza roho yako.
Darasa limejaa halina hata pa kukanyaga, sema kwaajili yako itabidi nikutengee muda wa kwako mwenyewe ili uweze kujifunza kwa amani.

Nijifunze kwa amani eeh? Na nisipopata A+ naacha shule dadeki. Asante prof [emoji870][emoji23][emoji870][emoji23][emoji870][emoji23][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Back
Top Bottom