Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.......[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
tapatalk_1535222602456.gif
 
Hakuna cha funzo wala nini. Kila jamii iwe huru kuendesha demokrasia yake kulingana na historia na utamaduni wake. Demokrasia hii ya Wamarekani imeshindikana kwingi duniani na mimi sina tatizo na kiongozi kubakia madarakani kama anatimiza matakwa ya wananchi wake. Huyu baba Rwanda ameitoa mbali mpaka leo ni nchi inayonyanyuka kwa kasi. Kama amekaa madarakani muda mrefu potelea mbali. So is Putin and yule mzee wa Uchina aliyejitangazia urais usio na mipaka.

China sawa, Russia pia sawa, lakini binadamu timilifu huiga mazuri. Kama tungetaka uchumi imara, madhubuti na miundombinu ya kila aina Afrika hii tungewaachia wakoloni waendelee kuitawala kiimra. Lakini kama utawala upo mikononi mwetu lazima tufuate kanuni za utawala wa sheria, hata kama una changamoto nyingi
 
Back
Top Bottom