Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

439635254_372586.jpg
 
Serikali imesema kuanzia tarehe 01/12/2018 itaongeza mishahara ya watumishi wake wote kwa 40%. Hata hivyo kwa kipindi cha miezi mitatu yaani September, October na November waalimu, na watumishi wa idara za afya watapatiwa posho isiyopungua sh 150,000 kwa kila mwezi ili kupunguza ukali wa maisha wakati wakisubiri neema ya nyongeza ya mishahara.

Mazungumzo yote yameshakamilika na kinachosubiriwa utaratibu wa kuandaa malipo.

Fupisha habari hii kwa maneno yasiyozidi 25

Hiyo ilikuwa assignment katika darasa moja hivi Shule ya msingi
Kuanzia 01/12/2018 serikali itaongeza 40% ya mshahara kwa watumishi. Walimu na idara ya afya watapata posho 150,000 kila mwezi kuanzia Septemba hadi Novemba.


**********((((()))))***************
NDOTO ZA ALNACHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nilikua nnakula ubwabwa at most twice a week... Hapo nilisema ni wasukuma ili kuwatania tuu ila ulichosema kina ukweli kwa mikoa mingi.

Niliwahi kusikia ukipata mgeni msukuma ukampa wali basi ataona kama vile chakula bado [emoji1] [emoji1] [emoji1]



[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha funzo wala nini. Kila jamii iwe huru kuendesha demokrasia yake kulingana na historia na utamaduni wake. Demokrasia hii ya Wamarekani imeshindikana kwingi duniani na mimi sina tatizo na kiongozi kubakia madarakani kama anatimiza matakwa ya wananchi wake. Huyu baba Rwanda ameitoa mbali mpaka leo ni nchi inayonyanyuka kwa kasi. Kama amekaa madarakani muda mrefu potelea mbali. So is Putin and yule mzee wa Uchina aliyejitangazia urais usio na mipaka.
 
Kuanzia 01/12/2018 serikali itaongeza 40% ya mshahara kwa watumishi. Walimu na idara ya afya watapata posho 150,000 kila mwezi kuanzia Septemba hadi Novemba.


**********((((()))))***************
NDOTO ZA ALNACHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Prof, leo hujanisalimia na roho yangu inaumia. Kuna darasa lolote ambalo liko wazi ninaloweza kujoin? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom