Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
Screenshot_2018-08-27-13-07-16-1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipitiwa tu rafiki mpendwa, Shikamoo SYB!
Habari ya uzima, waendelea vyema?

Kwa upande wangu namshukuru aliye juu, uzima upo tele.
Samahani kwa kukuumiza roho yako.
Darasa limejaa halina hata pa kukanyaga, sema kwaajili yako itabidi nikutengee muda wa kwako mwenyewe ili uweze kujifunza kwa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom