Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aliyepata mtoto juzi juzi hapa kule Texas? Kaja kumzalia mtoto huku ili apate uraia wa Marekani. Pengine ana malengo yake. Itabidi tumpeleke kwa Le Kokabangaz akapigwe msasa. Au kwa vile ye ni tajiri tayari hana shida...Msanii AY
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 849693
Please usikomenti cho chote. Unajijua [emoji36][emoji36][emoji36]
Aisee...Kumbe dogo aliomba msamaha wa samani zake. Ndo maana anawachimba mkwara wanaotaka kuzipiga mnada [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 849698
Haendi kuuza ,, wangempa msamahaKumbe dogo aliomba msamaha wa samani zake. Ndo maana anawachimba mkwara wanaotaka kuzipiga mnada [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 849698
Kuna mmoja ana blog(simtaji jina je kama ndo mmiliki wa mashing'weng'we) huyo alinishangaza siku mkewe kajifungua marekani,jamaa alitaja hosp hadi wodi na rangi ya dokta na mesi walimhudumia mkewe daah nilishangaa sana kumbe dili kubwa kupata mtoto marekaniAliyepata mtoto juzi juzi hapa kule Texas? Kaja kumzalia mtoto huku ili apate uraia wa Marekani. Pengine ana malengo yake. Itabidi tumpeleke kwa Le Kokabangaz akapigwe msasa. Au kwa vile ye ni tajiri tayari hana shida...
Kuna mmoja ana blog(simtaji jina je kama ndo mmiliki wa mashing'weng'we) huyo alinishangaza siku mkewe kajifungua marekani,jamaa alitaja hosp hadi wodi na rangi ya dokta na mesi walimhudumia mkewe daah nilishangaa sana kumbe dili kubwa kupata mtoto marekani