carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Unamsemea dada nanii??Kuna mmoja ana blog(simtaji jina je kama ndo mmiliki wa mashing'weng'we) huyo alinishangaza siku mkewe kajifungua marekani,jamaa alitaja hosp hadi wodi na rangi ya dokta na mesi walimhudumia mkewe daah nilishangaa sana kumbe dili kubwa kupata mtoto marekani
Mtoto ye yote anayezaliwa Marekani anakuwa Mmarekani otomatikale. Wanawake wenye mimba kutoka China na mataifa mengine duniani hupambana kufa na kupona ili waje kujifungulia huku ili watoto wao wapate uraia. Na hili likitokea wazazi pia wanaqualify kupata vibali vya kuishi mpaka mtoto atakapokuwa na miaka 18. Trump ameanza kupambana ili kubadilisha sheria hiyo ASAP...Kuna mmoja ana blog(simtaji jina je kama ndo mmiliki wa mashing'weng'we) huyo alinishangaza siku mkewe kajifungua marekani,jamaa alitaja hosp hadi wodi na rangi ya dokta na mesi walimhudumia mkewe daah nilishangaa sana kumbe dili kubwa kupata mtoto marekani
Toto lako litakuwa lishaaaaaambaaaa mpaka basi. Nakuhurumia [emoji16][emoji16][emoji16]Unamsemea dada nanii??
Wangu naenda zalia usukumani sitaki shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Mashing'weng'we nilishaifunga. Dola 900 za usajili mi ningezitoa wapi?Kuna mmoja ana blog(simtaji jina je kama ndo mmiliki wa mashing'weng'we) huyo alinishangaza siku mkewe kajifungua marekani,jamaa alitaja hosp hadi wodi na rangi ya dokta na mesi walimhudumia mkewe daah nilishangaa sana kumbe dili kubwa kupata mtoto marekani
Toto lako litakuwa lishaaaaaambaaaa mpaka basi. Nakuhurumia [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndo maana jamaa alifurahi sanaMtoto ye yote anayezaliwa Marekani anakuwa Mmarekani otomatikale. Wanawake wenye mimba kutoka China na mataifa mengine duniani hupambana kufa na kupona ili waje kujifungulia huku ili watoto wao wapate uraia. Na hili likitokea wazazi pia wanaqualify kupata vibali vya kuishi mpaka mtoto atakapokuwa na miaka 18. Trump ameanza kupambana ili kubadilisha sheria hiyo ASAP...
Sio mdada huyo ni jamaa mwanahabari mbalimbali halafu blog sio maarufuUnamsemea dada nanii??
Wangu naenda zalia usukumani sitaki shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Daah pesa hiziKumbe kweli sababu ni pesa. Mungu Amrehemu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 849703