Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

12. BENJAMIN FRANKLIN.

(One of the Founding father of USA, Inventor, scientist, politician, Musician, Deplomat, printer, entrepreneur,swimmer, writer, community worker na badae alijunga na kuwa freemason high degree,)

Aliandaliwa kuwa kasisi akiwa mtoto, aliacha shule akiwa na miaka 10 akawa anafanya kazi na baba yake kutengeneza sabuni na mishumaa, alipoona haoni future aliamua kukimbilia kwa kaka yake mji mwingine ambapo alikuwa muuza magazeti na printer. Akiwa 15 alienda england kufanya kibarua ndipo alipokutana na vuguvugu la mabadiliko ya fikra ulaya (the enlighment) hilo likamfanya awe na vyote hapo juu.
 
Wengine;

Plato, Aristote,Galileo Galilei, Edger alan poe, Archimedes, Boyler, Bastian french economist (writter and idealists),Henry ford, Alexander Bell, Michael dell, Thomas Edison,
na wengine wengi.
 
Shirika la Umeme nchini Misri (EEHC), limeikatia huduma ya umeme jengo la Wizara ya Maji nchini humo kutokana na malimbikizo ya madeni. Baada ya tukio hilo, Wizara ya Maji nayo imelikatia shirika hilo la umeme huduma ya maji kutokana na malimbikizo ya madeni.
 
Nilimwambia mtoto Wangu Sio Lazima Uwe Mmoja Kati Ya Wanafunzi 3 Bora Katika Darasa Lako, Ukiwa Katikati Ni Vizuri Zaidi. Chamsingi Ni Kuwa Maksi Zako Ni Nzuri, Hivyo Utapata Muda Wa Kujifunza Mengine Zaidi," Jack Ma ( Mmiliki Wa Alibaba)
 
12. BENJAMIN FRANKLIN.

(One of the Founding father of USA, Inventor, scientist, politician, Musician, Deplomat, printer, entrepreneur,swimmer, writer, community worker na badae alijunga na kuwa freemason high degree,)

Aliandaliwa kuwa kasisi akiwa mtoto, aliacha shule akiwa na miaka 10 akawa anafanya kazi na baba yake kutengeneza sabuni na mishumaa, alipoona haoni future aliamua kukimbilia kwa kaka yake mji mwingine ambapo alikuwa muuza magazeti na printer. Akiwa 15 alienda england kufanya kibarua ndipo alipokutana na vuguvugu la mabadiliko ya fikra ulaya (the enlighment) hilo likamfanya awe na vyote hapo juu.
Sahihi...
 
7. LEONARDO DA VINCI.

(Invention , painting, sculpting , architecture , science , music ,
mathematics, engineering, literature , anatomy, geology,
astronomy, botany , writing, history, and cartography )

Huyu ni kipaji maalumu, lakini vyote alijiendeleza mwenyewe. Alikuwa na uwezo wa kuchora mkono wa kushoto wakati huohuo mkono mwingine anaandika. Alikuwa anajua karibu kila kitu yaani super genius.
Huyu jamaa huyu kweli alikua Super Genius. Mfatilie
 
Back
Top Bottom