Sahihi...12. BENJAMIN FRANKLIN.
(One of the Founding father of USA, Inventor, scientist, politician, Musician, Deplomat, printer, entrepreneur,swimmer, writer, community worker na badae alijunga na kuwa freemason high degree,)
Aliandaliwa kuwa kasisi akiwa mtoto, aliacha shule akiwa na miaka 10 akawa anafanya kazi na baba yake kutengeneza sabuni na mishumaa, alipoona haoni future aliamua kukimbilia kwa kaka yake mji mwingine ambapo alikuwa muuza magazeti na printer. Akiwa 15 alienda england kufanya kibarua ndipo alipokutana na vuguvugu la mabadiliko ya fikra ulaya (the enlighment) hilo likamfanya awe na vyote hapo juu.
✔✔4. ADOLF HITLER.
(Mwanasiasa)
Hakumaliza shule ya secondary kwa sababu ya uanaharakati. Alishindwa kujiunga chuo kusomea Ufundi sanifu kwa sababu hakuwa na vigezo (hakumaliza secondary). Baadae alitawal taifa la wasomi na kuisumbua dunia.
hahahah! akirudi usimfanyie maigizo sasaAmbia@Iceman 3D wangu nammiss[emoji24][emoji24][emoji24]
Huyu jamaa huyu kweli alikua Super Genius. Mfatilie7. LEONARDO DA VINCI.
(Invention , painting, sculpting , architecture , science , music ,
mathematics, engineering, literature , anatomy, geology,
astronomy, botany , writing, history, and cartography )
Huyu ni kipaji maalumu, lakini vyote alijiendeleza mwenyewe. Alikuwa na uwezo wa kuchora mkono wa kushoto wakati huohuo mkono mwingine anaandika. Alikuwa anajua karibu kila kitu yaani super genius.
Akirudi patanogaaa maana kuna samaritan na birian zakehahahah! akirudi usimfanyie maigizo sasa