Tafuta chura weweHizi mambo za kurekebisha maumbile sasa zishakuwa ni too much aiseh[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Leah Cambridge (29) Raia wa Uingereza na Mama wa Watoto Watatu amefariki wakati akifanyiwa upasuaji wa kuongeza ukubwa wa makalio katika Kliniki moja nchini Uturuki, imeelezwa Leah alitoa fedha zenye thamani ya Milioni 8 za Kitanzania ili afanyiwe upasuaji huo.View attachment 850636