Mbona unanitega yego?View attachment 852063
[emoji1][emoji1][emoji124][emoji124][emoji124]
Aiseeh!!mbona bado mapema?Wataalamu wa masuala ya ndoa, wanasema ili mwanamke aweze kupambana/kumfanya mume wake asichepuke nje ya ndoa...
Basi kuna kipindi mwanamke anatakiwa awe kahaba,, tena kahaba kweli kweli (sio kahaba unayemjua ww,, yule unayemuona kule Ohio street, Jolly casino au Villa Park) hapana ni tafsida tu..
Wataalamu wanaendelea kusema kuwa inabd awe kahaba hasa pale unapofika muda wa mbunyuko,, inabd awe flexible,, aende kila aina ya mchezo (hawajamaansha kuruka ukuta),,hatakiw kabsa kuona aibu,,
Na ww mwanaume ukifanyiwa mambo hayo usikurupuke na kuanza kudai labda mwanamke wako ameanza kutoka njee,, la hasha
Maana wanaume wengi wanapenda hayo mambo hasa wanapokuwa na michepuko yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waaah!![emoji134][emoji134][emoji134]sijui kama jion itafika salama leo[emoji16][emoji16]A Kiss Is A Upper Preparation
For A Lower Invasion
That Will Lead To Further
Penetration With Fast Acceleration
That Will Build The Next Generation.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unanitega yego?
😂😂😂 kweliWataalamu wa masuala ya ndoa, wanasema ili mwanamke aweze kupambana/kumfanya mume wake asichepuke nje ya ndoa...
Basi kuna kipindi mwanamke anatakiwa awe kahaba,, tena kahaba kweli kweli (sio kahaba unayemjua ww,, yule unayemuona kule Ohio street, Jolly casino au Villa Park) hapana ni tafsida tu..
Wataalamu wanaendelea kusema kuwa inabd awe kahaba hasa pale unapofika muda wa mbunyuko,, inabd awe flexible,, aende kila aina ya mchezo (hawajamaansha kuruka ukuta),,hatakiw kabsa kuona aibu,,
Na ww mwanaume ukifanyiwa mambo hayo usikurupuke na kuanza kudai labda mwanamke wako ameanza kutoka njee,, la hasha
Maana wanaume wengi wanapenda hayo mambo hasa wanapokuwa na michepuko yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uninase mara ngap sasa?au mpaka niseme[emoji16][emoji16][emoji16]Nataka nikunase! [emoji1][emoji1][emoji1]... Uwe na Ijumaa njema bana! [emoji112][emoji124][emoji124][emoji124]