myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔✔✔
✔✔✔
Nzuri kipenzi, sema sikupotea saana...Nilikuwa naingia kwa kuibia ibia.Za kupotea?
Mie bukheri kabisa.Nzuri kipenzi, sema sikupotea saana...Nilikuwa naingia kwa kuibia ibia.
Mzima wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahha acha kabisa..... LY
?????????, niache nini
Mohabbat Ke Chaand Ko Apni
Panah Mein Rehne Do, Labon
Ko Na Kholo Aankhon Ko
Kuch Kehne Do, Dil Pe Haath
Rakho Aur Kuch Deir Rehne Do,
Mujhe Mehsoos Karo Aur
Apne Paas Hi Rehne Do..!
Naona unamwaga ki Urdu toka jiji la Madras nchini India[emoji3] [emoji3] [emoji3] habari yako Pyaar
Wataalamu wa masuala ya ndoa, wanasema ili mwanamke aweze kupambana/kumfanya mume wake asichepuke nje ya ndoa...
Basi kuna kipindi mwanamke anatakiwa awe kahaba,, tena kahaba kweli kweli (sio kahaba unayemjua ww,, yule unayemuona kule Ohio street, Jolly casino au Villa Park) hapana ni tafsida tu..
Wataalamu wanaendelea kusema kuwa inabd awe kahaba hasa pale unapofika muda wa mbunyuko,, inabd awe flexible,, aende kila aina ya mchezo (hawajamaansha kuruka ukuta),,hatakiw kabsa kuona aibu,,
Na ww mwanaume ukifanyiwa mambo hayo usikurupuke na kuanza kudai labda mwanamke wako ameanza kutoka njee,, la hasha
Maana wanaume wengi wanapenda hayo mambo hasa wanapokuwa na michepuko yao.
Duuuuu, somo lako la leo mkuu....
Aiseeh!!mbona bado mapema?
Tutafika jion kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawayuu andateni?