Wataalamu wa masuala ya ndoa, wanasema ili mwanamke aweze kupambana/kumfanya mume wake asichepuke nje ya ndoa...
Basi kuna kipindi mwanamke anatakiwa awe kahaba,, tena kahaba kweli kweli (sio kahaba unayemjua ww,, yule unayemuona kule Ohio street, Jolly casino au Villa Park) hapana ni tafsida tu..
Wataalamu wanaendelea kusema kuwa inabd awe kahaba hasa pale unapofika muda wa mbunyuko,, inabd awe flexible,, aende kila aina ya mchezo (hawajamaansha kuruka ukuta),,hatakiw kabsa kuona aibu,,
Na ww mwanaume ukifanyiwa mambo hayo usikurupuke na kuanza kudai labda mwanamke wako ameanza kutoka njee,, la hasha
Maana wanaume wengi wanapenda hayo mambo hasa wanapokuwa na michepuko yao.
Sent using
Jamii Forums mobile app