[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtuache na kifo chetu cha mende,mbwembwe hatutaki na kifuani kukaa mwisho dakika 10,ukizidisha tumechoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kama hivyo ndivyo basi michepuko ni foreva and eva mpaka isiwe ndivyo [emoji16][emoji16][emoji16]Mtuache na kifo chetu cha mende,mbwembwe hatutaki na kifuani kukaa mwisho dakika 10,ukizidisha tumechoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Duh!Wanawake wengine hawana huruma hata chembe ...
***************************
Jamani msihonge sana, madhara yake ndo haya - JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo na matani yetu ya humu ingekuwaga ni ukweli kuna watu wangekuwa na mimba sasa hivi. Eti "nifukunyue vyo vyote unavyotaka" lakini si ajabu ukimzukia laivu Gold Crest hutamsikia na JF haji. Shwaiini kabisa !!!
Sio kuhonga tu, hata muda aliouinvest kwake. Pesa + vitu vinatafutwa, lakini kutumia muda mwingi kwa mtu asiye na shukrani ndicho kinachoumiza zaidi...Mategemeo yake yote yakazimwa mara moja.Nashukuru Mungu bro Ujinga huo umenipita kushoto
Mchepuko ni nani??Kama hivyo ndivyo basi michepuko ni foreva and eva mpaka isiwe ndivyo [emoji16][emoji16][emoji16]