Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naamini ni vigumu sana kumfanya mwanaume aridhike kwa sababu ya kufanyiwa ufundi mwingi.

Mwanaume hana anachoridhika nacho, mwanamke anaweza kujitahidi kufanya yale anayodhani mmewe ataridhika nayo lakini isiwe vile.

Wakati mwingine mwanaume huhitaji kufanya badiriko la kuridhisha nafsi yake tu, na hata kama ana mke mzuri na mtaalamu nyumbani hiyo haimfanyi atulie.

Kitakachomfanya mwanaume atulie ni kufanya maamuzi ya kutulia tu na si kitu kingine.

Nasema haya sababu ninao uzoefu na pia ni mwanaume.
 
‪David Malelu Raia wa Kenya anayedaiwa kuitelekeza familia yake na kutoweka na Mwanamke mwingine amerudi jana nyumbani ikiwa imepita miaka 46 huku akiwa na shilingi 500 za Kenya sawa na Elfu 11 za Kitanzania mfukoni, Malelu amefanyiwa sherehe baada ya kurudi.


ila wanaume nyie,Mungu awasamehe tu kwakweliView attachment 852361

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] alienda kutafuta pesa huyo baba, angalau baada mihangaiko miaka mingi akafanikiwa kupata sh 500/[emoji3] [emoji3] [emoji3] .hujambo dada
 
Huku kwetu hakuna mambo ya hatimiliki. Wampe kibali Mzee Mbanga hata kama injini ni ya Tata Motors bana. Yeye si kaunda body na kupanga viti vizuri?

Kwema lakini shemeji? Dadangu na wapwa hawajambo?

Hata hivyo kuna suala la uiano wa mzigo na matairi, sijajua ameliweka vipi ili kulinda usalama wa abiria
 
‪Gail Lamb (55) wa nchini Uingereza amefariki kutokana na ajali ya moto baada ya kukataa kutoka kwenye nyumba ambayo ilikuwa ikiwaka moto akidhania kuwa Mume wake alikuwa bado yumo ndani ya nyumba hiyo lakini kumbe Mume wake alikuwa tayari ameshatoka.View attachment 852371

Ili kuonyesha upendo baba naye yafaa ajipige kibiriti[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom