Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchepuko ni nani??
Mwanamke yeyote anaweza kuwa mchepuko, haijalishi kaolewa ama hajaolewa...
Cha kushangaza huyo anayelala kila siku kifo cha mende kuna mahali anabinuka kufa kupona, na mieleka juu....Kama sio yule wa kifo cha mende awapo na mumewe....Shwainiiii kabisa.





[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
‪Imeripotiwa kuwa vikosi vya usalama vya Uganda vimeizingira hospitali ambayo Mbunge Bobi Wine amelazwa, mapema leo Polisi wa nchi hiyo walimzuia uwanja wa ndege Mbunge huyo kwenda nje ya nchi kutibiwa na badala yake walimpeleka kwenye hospitali ya Serikali.
Si wamuue tu lijulikane moja. Jizazi [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
FB_IMG_1535642910079.jpg
Ngorongoro
 
Ombeni namba jamani[emoji23][emoji23][emoji23]

‪Biswajit Poddar (29) Raia wa India ameweka mabango ya matangazo 4000 mjini Burdwan yenye taarifa zake kumtafuta Mwanamke aliyempenda baada ya kumuona kwa mara ya kwanza kwenye treni, Poddar anadai Mwanamke huyo alionesha dalili za kumpenda lakini hakubahatika kuchukua namba zake.‬
 
Back
Top Bottom